Methali 14:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Kumcha BWANA ni chemchemi ya uzima, Ili kuepukana na tanzi za mauti. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Kumcha Mwenyezi-Mungu ni chemchemi ya uhai; humwezesha mtu kuepa mitego ya kifo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Kumcha Mwenyezi-Mungu ni chemchemi ya uhai; humwezesha mtu kuepa mitego ya kifo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Kumcha Mwenyezi-Mungu ni chemchemi ya uhai; humwezesha mtu kuepa mitego ya kifo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Kumcha Mwenyezi Mungu ni chemchemi ya uzima, ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Kumcha bwana ni chemchemi ya uzima, ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti. Tazama sura |