Methali 14:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Ageukaye moyoni hushiba njia zake mwenyewe; Na mtu mwema ataridhika nafsini mwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Mtu mpotovu atavuna matunda ya mwenendo wake, naye mtu mwema atapata tuzo la matendo yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Mtu mpotovu atavuna matunda ya mwenendo wake, naye mtu mwema atapata tuzo la matendo yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Mtu mpotovu atavuna matunda ya mwenendo wake, naye mtu mwema atapata tuzo la matendo yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Wasio na imani watapatilizwa kikamilifu kwa ajili ya njia zao, naye mtu mwema atapewa thawabu kwa ajili ya njia yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Wasio na imani watapatilizwa kikamilifu kwa ajili ya njia zao, naye mtu mwema atapewa thawabu kwa ajili ya njia yake. Tazama sura |