Methali 13:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Mwana mwenye hekima husikiliza mausia ya babaye; Bali mwenye dharau hasikilizi maonyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mtoto mwenye hekima husikia maagizo ya baba yake, lakini mwenye dharau hasikilizi maonyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mtoto mwenye hekima husikia maagizo ya baba yake, lakini mwenye dharau hasikilizi maonyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mtoto mwenye hekima husikia maagizo ya baba yake, lakini mwenye dharau hasikilizi maonyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mwana mwenye hekima husikia mafundisho ya babaye, bali mwenye dharau hasikilizi maonyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Mwana mwenye hekima husikia mafundisho ya babaye, bali mwenye dharau hasikilizi maonyo. Tazama sura |