Methali 12:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Katika njia ya haki kuna uhai; Wala hakuna mauti katika mapito yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Uadilifu ni njia ya uhai, lakini uovu huongoza katika mauti. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Uadilifu ni njia ya uhai, lakini uovu huongoza katika mauti. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Uadilifu ni njia ya uhai, lakini uovu huongoza katika mauti. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Katika njia ya haki kuna uzima; katika mapito hayo kuna maisha ya milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Katika njia ya haki kuna uzima; katika mapito hayo kuna maisha ya milele. Tazama sura |