Methali 12:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Mtu atashiba mema kwa matunda ya kinywa chake; Na atarudishiwa matendo ya mikono yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Mtu hufanikiwa kutokana na maneno yake kama apatavyo matokeo ya kazi za mikono yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Mtu hufanikiwa kutokana na maneno yake kama apatavyo matokeo ya kazi za mikono yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Mtu hufanikiwa kutokana na maneno yake kama apatavyo matokeo ya kazi za mikono yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Kutokana na tunda la midomo yao, watu hujazwa na mambo mema, na kazi ya mikono yao huwaletea thawabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Kutokana na tunda la midomo yake mtu hujazwa na mambo mema, hakika kama ilivyo kazi ya mikono yake humtunza. Tazama sura |