Methali 10:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Akusanyaye wakati wa joto ni mwana mwenye hekima; Bali asinziaye wakati wa mavuno ni mwana mwenye kuaibisha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mwenye busara hukusanya wakati wa mavuno, kulala wakati wa kuvuna ni aibu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mwenye busara hukusanya wakati wa mavuno, kulala wakati wa kuvuna ni aibu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mwenye busara hukusanya wakati wa mavuno, kulala wakati wa kuvuna ni aibu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Yeye akusanyaye mazao wakati wa kiangazi ni mwana mwenye hekima, lakini yeye alalaye wakati wa mavuno ni mwana mwenye kuaibisha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Yeye akusanyaye mazao wakati wa kiangazi ni mwana mwenye hekima, lakini yeye alalaye wakati wa mavuno ni mwana mwenye kuaibisha. Tazama sura |