Methali 10:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Midomo ya mwenye haki huyajua yatakayokubaliwa; Bali kinywa chao wasio haki hunena ukaidi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Midomo ya waadilifu hujua yanayokubalika, lakini vinywa vya waovu husema tu maovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Midomo ya waadilifu hujua yanayokubalika, lakini vinywa vya waovu husema tu maovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Midomo ya waadilifu hujua yanayokubalika, lakini vinywa vya waovu husema tu maovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Midomo ya wenye haki hujua kile chenye kibali, bali kinywa cha mwovu hujua kile kilichopotoka tu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Midomo ya wenye haki inajua kile kinachofaa, bali kinywa cha mwovu hujua kile kilichopotoka tu. Tazama sura |