Methali 10:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Hazina za uovu hazifaidii kitu; Bali haki huokoa na mauti. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mali iliyopatikana kwa njia mbaya haifai, lakini uadilifu huokoa mtu kutoka kifoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mali iliyopatikana kwa njia mbaya haifai, lakini uadilifu huokoa mtu kutoka kifoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mali iliyopatikana kwa njia mbaya haifai, lakini uadilifu huokoa mtu kutoka kifoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Hazina zilizopatikana kwa njia mbaya hazifai, lakini uadilifu huokoa kutoka mautini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Hazina zilizopatikana kwa njia mbaya hazifai, lakini uadilifu huokoa kutoka mautini. Tazama sura |