Methali 1:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Kumcha Mwenyezi Mungu ni chanzo cha maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kumcha bwana ndicho chanzo cha maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. Tazama sura |