Methali 1:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Kwa kuwa nimeita, nanyi mkakataa; Nimeunyosha mkono wangu, wala hakuna aliyeangalia; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Kwa kuwa nimewaita mkakataa kusikiliza, nimewapungia mkono mje mkakataa, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Kwa kuwa nimewaita mkakataa kusikiliza, nimewapungia mkono mje mkakataa, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Kwa kuwa nimewaita mkakataa kusikiliza, nimewapungia mkono mje mkakataa, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Lakini kwa kuwa mlinikataa nilipowaita na hakuna yeyote aliyekubali niliponyoosha mkono wangu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Lakini kwa kuwa mlinikataa nilipowaita na hakuna yeyote aliyekubali niliponyoosha mkono wangu, Tazama sura |
Basi, nilipokuja, mbona hapakuwa na mtu? Nilipoita, mbona hapakuwa na mtu aliyenijibu? Je! Mkono wangu ni mfupi, hata nisiweze kukomboa? Au je! Mimi sina nguvu za kuponya? Tazama, kwa kukemea kwangu naikausha bahari, mito ya maji naifanya kuwa jangwa; samaki wao wanuka kwa sababu hapana maji, nao wafa kwa kiu.