Methali 1:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Tutapata mali yote ya thamani, Tutazijaza nyumba zetu mateka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Tutajitwalia mali zote za thamani, nyumba zetu tutazijaza nyara. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Tutajitwalia mali zote za thamani, nyumba zetu tutazijaza nyara. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Tutajitwalia mali zote za thamani, nyumba zetu tutazijaza nyara. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Tutapata aina zote za vitu vya thamani na kujaza nyumba zetu kwa nyara. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Tutapata aina zote za vitu vya thamani na kujaza nyumba zetu kwa nyara. Tazama sura |