Mathayo 9:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 Lakini Mafarisayo wakasema, Kwa nguvu za mkuu wa pepo atoa pepo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Lakini Mafarisayo wakawa wanasema, “Anawafukuza pepo kwa nguvu ya mkuu wa pepo wabaya.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Lakini Mafarisayo wakawa wanasema, “Anawafukuza pepo kwa nguvu ya mkuu wa pepo wabaya.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Lakini Mafarisayo wakawa wanasema, “Anawafukuza pepo kwa nguvu ya mkuu wa pepo wabaya.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Lakini Mafarisayo wakasema, “Huyo anatoa pepo wachafu kwa uwezo wa mkuu wa pepo wachafu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Lakini Mafarisayo wakasema, “Huyo anatoa pepo wachafu kwa uwezo wa mkuu wa pepo wachafu.” Tazama sura |