Mathayo 9:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Macho yao yakafumbuka. Naye Yesu akawaagiza kwa nguvu, akisema, Angalieni hata mtu mmoja asijue. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Macho yao yakafunguliwa. Naye Yesu akawaonya kwa ukali: “Msimwambie mtu yeyote jambo hili.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Macho yao yakafunguliwa. Naye Yesu akawaonya kwa ukali: “Msimwambie mtu yeyote jambo hili.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Macho yao yakafunguliwa. Naye Yesu akawaonya kwa ukali: “Msimwambie mtu yeyote jambo hili.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Macho yao yakafunguka. Isa akawaonya vikali, akisema, “Chungeni mtu yeyote asijue kuhusu jambo hili.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Macho yao yakafunguka. Isa akawaonya vikali, akisema, “Angalieni mtu yeyote asijue kuhusu jambo hili.” Tazama sura |