Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 9:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Na tazama, mwanamke aliyekuwa na ugonjwa wa kutoka damu muda wa miaka kumi na miwili, alikuja kwa nyuma, akaugusa upindo wa vazi lake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Mama mmoja, mgonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili, alimfuata Yesu nyuma, akagusa pindo la vazi lake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Mama mmoja, mgonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili, alimfuata Yesu nyuma, akagusa pindo la vazi lake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Mama mmoja, mgonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili, alimfuata Yesu nyuma, akagusa pindo la vazi lake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Wakati huo huo, mwanamke mmoja, aliyekuwa na ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na mbili, akaja nyuma ya Isa, akagusa upindo wa vazi lake,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Wakati huo huo, mwanamke mmoja, ambaye alikuwa na ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili, akaja nyuma ya Isa, akagusa upindo wa vazi lake,

Tazama sura Nakili




Mathayo 9:20
12 Marejeleo ya Msalaba  

nao wakamsihi waguse hata pindo la vazi lake tu; na wote waliogusa wakaponywa kabisa.


Tena matendo yao yote huyatenda ili kutazamwa na watu; kwa kuwa hupanua hirizi zao, huongeza matamvua yao;


Yesu Akaondoka, akamfuata, pamoja na wanafunzi wake.


Na kila alikokwenda, akiingia vijijini, au mijini, au mashambani, wakawaweka wagonjwa sokoni, wakamsihi waguse angaa pindo la vazi lake; nao wote waliomgusa wakapona.


Wakafika Bethsaida, wakamletea kipofu, wakamsihi amguse.


hata wagonjwa wakaletewa leso na nguo zilizotoka mwilini mwake, magonjwa yao yakawatoka, pepo wachafu wakawatoka.


hata ikawa katika njia kuu hutoa nje wagonjwa, na kuwaweka juu ya mikeka na magodoro, ili Petro akija, ngawa kivuli chake kimwangukie mmojawapo wao.


Ujifanyizie vishada katika pembe nne za mavazi yako ya kujifunika.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo