Mathayo 8:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Mwandishi mmoja akamwendea, akamwambia, Mwalimu, nitakufuata kokote uendako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Mwalimu mmoja wa sheria akamwendea, akamwambia, “Mwalimu, mimi nitakufuata kokote utakakokwenda.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Mwalimu mmoja wa sheria akamwendea, akamwambia, “Mwalimu, mimi nitakufuata kokote utakakokwenda.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Mwalimu mmoja wa sheria akamwendea, akamwambia, “Mwalimu, mimi nitakufuata kokote utakakokwenda.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Kisha mwalimu mmoja wa sheria akamjia Isa na kumwambia, “Mwalimu, nitakufuata popote utakakoenda.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Kisha mwalimu mmoja wa sheria akamjia Isa na kumwambia, “Mwalimu, nitakufuata kokote uendako.” Tazama sura |