Mathayo 6:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Amin, nawaambieni, Wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe utoapo sadaka, hata mkono wako wa kushoto usijue ufanyalo mkono wako wa kulia; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Lakini wewe unapomsaidia maskini, fanya hivyo kwamba hata mwandani wako asijue ufanyalo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Lakini wewe unapomsaidia maskini, fanya hivyo kwamba hata mwandani wako asijue ufanyalo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Lakini wewe unapomsaidia maskini, fanya hivyo kwamba hata mwandani wako asijue ufanyalo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Lakini ninyi mtoapo sadaka, fanyeni kwa siri, hata mkono wako wa kushoto usijue mkono wako wa kuume unachofanya, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Lakini ninyi mtoapo sadaka, fanyeni kwa siri, hata mkono wako wa kushoto usijue mkono wako wa kuume unachofanya, Tazama sura |