Mathayo 6:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo, na wezi huvunja na kuiba; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 “Msijiwekee hazina hapa duniani ambako nondo na kutu huharibu, na wezi huingia na kuiba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 “Msijiwekee hazina hapa duniani ambako nondo na kutu huharibu, na wezi huingia na kuiba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 “Msijiwekee hazina hapa duniani ambako nondo na kutu huharibu, na wezi huingia na kuiba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 “Msijiwekee hazina duniani, ambapo nondo na kutu huharibu, nao wezi huvunja na kuiba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 “Msijiwekee hazina duniani, mahali ambapo nondo na kutu huharibu, nao wevi huvunja na kuiba. Tazama sura |