Mathayo 5:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Amin, nakuambia, Hutoki humo kamwe hadi utakapolipa senti ya mwisho. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Kweli nakuambia, hutatoka humo mpaka umelipa senti ya mwisho. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Kweli nakuambia, hutatoka humo mpaka umelipa senti ya mwisho. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Kweli nakuambia, hutatoka humo mpaka umelipa senti ya mwisho. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Amin, nakuambia, hutatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Amin, nakuambia, hautatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho. Tazama sura |