Mathayo 3:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Ndipo walipomwendea wa Yerusalemu, na wa Yudea wote, na nchi zote za kandokando ya Yordani; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Basi, watu kutoka Yerusalemu, kutoka pande zote za Yudea na sehemu zote za kandokando ya mto Yordani, walimwendea, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Basi, watu kutoka Yerusalemu, kutoka pande zote za Yudea na sehemu zote za kandokando ya mto Yordani, walimwendea, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Basi, watu kutoka Yerusalemu, kutoka pande zote za Yudea na sehemu zote za kandokando ya mto Yordani, walimwendea, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Watu walikuwa wakimwendea kutoka Yerusalemu, Yudea yote na nchi zote za kandokando ya Mto Yordani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Watu walikuwa wakimwendea kutoka Yerusalemu, Uyahudi yote na nchi zote za kandokando ya Mto Yordani. Tazama sura |