Mathayo 27:51 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC51 Na tazama, pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu hadi chini; nchi ikatetemeka; miamba ikapasuka; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema51 Hapo pazia la hekalu likapasuka vipande viwili, toka juu mpaka chini; nchi ikatetemeka; miamba ikapasuka; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND51 Hapo pazia la hekalu likapasuka vipande viwili, toka juu mpaka chini; nchi ikatetemeka; miamba ikapasuka; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza51 Hapo pazia la hekalu likapasuka vipande viwili, toka juu mpaka chini; nchi ikatetemeka; miamba ikapasuka; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu51 Wakati huo huo pazia la Hekalu likachanika vipande viwili, kuanzia juu hadi chini. Dunia ikatetemeka na miamba ikapasuka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu51 Wakati huo huo pazia la Hekalu likachanika vipande viwili, kuanzia juu hadi chini. Dunia ikatetemeka na miamba ikapasuka. Tazama sura |