Mathayo 27:47 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC47 Na baadhi yao waliokuweko, waliposikia, walisema, Huyu anamwita Eliya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema47 Lakini wale waliosimama pale waliposikia hivyo wakasema, “Anamwita Elia.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND47 Lakini wale waliosimama pale waliposikia hivyo wakasema, “Anamwita Elia.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza47 Lakini wale waliosimama pale waliposikia hivyo wakasema, “Anamwita Elia.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu47 Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama pale waliposikia hayo, wakasema, “Anamwita Ilya.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu47 Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama pale waliposikia hayo, wakasema, “Anamwita Ilya.” Tazama sura |