Mathayo 27:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC37 Wakaweka juu ya kichwa chake mashitaka yake, yaliyoandikwa HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Juu ya kichwa chake wakaweka shtaka dhidi yake lililoandikwa, “Huyu ni Yesu, Mfalme wa Wayahudi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Juu ya kichwa chake wakaweka shtaka dhidi yake lililoandikwa, “Huyu ni Yesu, Mfalme wa Wayahudi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Juu ya kichwa chake wakaweka shtaka dhidi yake lililoandikwa, “Huyu ni Yesu, Mfalme wa Wayahudi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Juu ya kichwa chake, kwenye msalaba, wakaandika shtaka lake hivi: Huyu ni Isa Mfalme wa Wayahudi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Juu ya kichwa chake, kwenye msalaba, wakaandika shtaka lake hivi: huyu ni isa, mfalme wa wayahudi. Tazama sura |