Mathayo 27:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Walipokwisha kumsulubisha, waligawana mavazi yake, kwa kupiga kura; [ili litimie neno lililonenwa na nabii, Waligawa nguo zangu kati yao, na juu ya vazi langu walipiga kura.] Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Walimsulubisha, kisha wakagawana mavazi yake kwa kuyapigia kura. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Walimsulubisha, kisha wakagawana mavazi yake kwa kuyapigia kura. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Walimsulubisha, kisha wakagawana mavazi yake kwa kuyapigia kura. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Walipokwisha kumsulubisha, wakagawana mavazi yake kwa kuyapigia kura. [Hili lilifanyika ili litimie neno lililonenwa na nabii, “Waligawa nguo zangu miongoni mwao na vazi langu wakalipigia kura.”] Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Walipokwisha kumsulubisha wakagawana mavazi yake kwa kuyapigia kura. [Hili lilifanyika ili litimie lile neno lililonenwa na nabii, “Waligawa nguo zangu miongoni mwao na vazi langu wakalipigia kura.”] Tazama sura |