Mathayo 27:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Basi palikuwa na mfungwa mashuhuri siku zile, aitwaye Baraba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Wakati huo kulikuwa na mfungwa aliyejulikana sana, jina lake Baraba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Wakati huo kulikuwa na mfungwa aliyejulikana sana, jina lake Baraba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Wakati huo kulikuwa na mfungwa aliyejulikana sana, jina lake Baraba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Palikuwa na mfungwa mmoja mwenye sifa mbaya, aliyeitwa Baraba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Wakati huo alikuwepo mfungwa mmoja mwenye sifa mbaya, aliyeitwa Baraba. Tazama sura |