Mathayo 27:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Asimjibu hata neno moja, hata mtawala akastaajabu sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Lakini Yesu hakumjibu hata neno moja; hata huyo mkuu wa mkoa akashangaa sana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Lakini Yesu hakumjibu hata neno moja; hata huyo mkuu wa mkoa akashangaa sana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Lakini Yesu hakumjibu hata neno moja; hata huyo mkuu wa mkoa akashangaa sana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Lakini Isa hakumjibu hata kwa shtaka moja, kiasi kwamba mtawala alishangaa sana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Lakini Isa hakumjibu hata kwa shtaka moja, kiasi kwamba mtawala alishangaa sana. Tazama sura |