Mathayo 26:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Wanafunzi wake walipoona, wakakasirika, wakasema, Ni wa nini upotevu huu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Wanafunzi wake walipoona hayo wakakasirika, wakasema, “Ya nini hasara hii? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Wanafunzi wake walipoona hayo wakakasirika, wakasema, “Ya nini hasara hii? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Wanafunzi wake walipoona hayo wakakasirika, wakasema, “Ya nini hasara hii? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Lakini wanafunzi wake walipoona hayo wakakasirika, wakasema, “Upotevu huu wote ni wa nini? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Lakini wanafunzi wake walipoona hayo wakakasirika, wakasema, “Upotevu huu wote ni wa nini? Tazama sura |