Mathayo 26:59 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC59 Basi wakuu wa makuhani na baraza yote wakatafuta ushuhuda wa uongo juu ya Yesu, wapate kumwua; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema59 Basi, makuhani wakuu na Baraza lote wakatafuta ushahidi wa uongo dhidi ya Yesu wapate kumuua, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND59 Basi, makuhani wakuu na Baraza lote wakatafuta ushahidi wa uongo dhidi ya Yesu wapate kumuua, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza59 Basi, makuhani wakuu na Baraza lote wakatafuta ushahidi wa uongo dhidi ya Yesu wapate kumuua, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu59 Viongozi wa makuhani na Baraza la Wayahudi lote wakatafuta ushahidi wa uongo dhidi ya Isa ili wapate kumuua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu59 Viongozi wa makuhani na Baraza la Wayahudi lote wakatafuta ushahidi wa uongo dhidi ya Isa ili wapate kumuua. Tazama sura |