Mathayo 26:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 wakafanya shauri pamoja, ili wamkamate Yesu kwa hila na kumwua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Wakashauriana jinsi ya kumtia Yesu nguvuni kwa hila wamuue. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Wakashauriana jinsi ya kumtia Yesu nguvuni kwa hila wamuue. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Wakashauriana jinsi ya kumtia Yesu nguvuni kwa hila wamuue. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Wakapanga kumkamata Isa kwa siri na kumuua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Wakafanya shauri ili kumkamata Isa kwa siri na kumuua. Tazama sura |