Mathayo 26:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Nao walipokwisha kuimba, wakatoka nje kwenda katika mlima wa Mizeituni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Baada ya kuimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Baada ya kuimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Baada ya kuimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni. Tazama sura |