Mathayo 25:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC39 Ni lini tena tulipokuona ukiwa mgonjwa, au ukiwa kifungoni, tukakujia? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 Ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa au mfungwa nasi tukaja kukutazama?’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa au mfungwa nasi tukaja kukutazama?’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa au mfungwa nasi tukaja kukutazama?’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 Tena ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa tukakutunza, au ukiwa kifungoni tukakutembelea?’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 Tena ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa tukakutunza, au ukiwa kifungoni tukakutembelea?’ Tazama sura |