Mathayo 25:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Mara yule aliyepokea talanta tano akaenda, akafanya biashara nazo, akachuma faida talanta nyingine tano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Mara yule aliyekabidhiwa fedha talanta tano akafanya kazi nazo akapata faida talanta tano. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Mara yule aliyekabidhiwa fedha talanta tano akafanya kazi nazo akapata faida talanta tano. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Mara yule aliyekabidhiwa fedha talanta tano akafanya kazi nazo akapata faida talanta tano. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Yule aliyepewa talanta tano akaenda mara moja akafanya nazo biashara akapata talanta nyingine tano zaidi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Yule aliyepewa talanta tano akaenda mara moja akafanya nazo biashara akapata talanta nyingine tano zaidi. Tazama sura |