Mathayo 24:51 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC51 atamkata vipande viwili, na kumwekea fungu lake pamoja na wanafiki; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema51 Atamwadhibu vibaya na kumweka kundi moja na wanafiki. Huko kutakuwa na kilio na kusaga meno. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND51 Atamwadhibu vibaya na kumweka kundi moja na wanafiki. Huko kutakuwa na kilio na kusaga meno. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza51 Atamwadhibu vibaya na kumweka kundi moja na wanafiki. Huko kutakuwa na kilio na kusaga meno. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu51 Atamkata vipande vipande na kumweka pamoja na wanafiki, mahali ambako kutakuwa ni kulia na kusaga meno. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu51 Atamkata vipande vipande na kumweka katika sehemu moja pamoja na wanafiki, mahali ambako kutakuwa ni kulia na kusaga meno. Tazama sura |