Mathayo 24:50 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC50 bwana wake mtumwa huyo atakuja siku asiyotazamia, na saa asiyojua, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema50 bwana wake atakuja siku asiyoitazamia na saa asiyoijua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND50 bwana wake atakuja siku asiyoitazamia na saa asiyoijua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza50 bwana wake atakuja siku asiyoitazamia na saa asiyoijua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu50 Basi bwana wa mtumishi huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyoijua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu50 Basi bwana wa mtumishi huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyoijua. Tazama sura |