Mathayo 24:46 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC46 Heri mtumwa yule, ambaye bwana wake ajapo atamkuta akifanya hivyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema46 Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakapokuja atamkuta akifanya hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND46 Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakapokuja atamkuta akifanya hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza46 Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakapokuja atamkuta akifanya hivyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu46 Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya hivyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu46 Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya hivyo. Tazama sura |