Mathayo 24:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 Amin, nawaambia, Kizazi hiki hakitapita, hata hayo yote yatakapotimia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia. Tazama sura |