Mathayo 22:44 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC44 Bwana alimwambia Bwana wangu, Uketi katika mkono wangu wa kulia, Hata niwawekapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema44 ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia, mpaka niwaweke maadui zako chini ya miguu yako.’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND44 ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia, mpaka niwaweke maadui zako chini ya miguu yako.’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza44 ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: keti upande wangu wa kulia, mpaka niwaweke maadui zako chini ya miguu yako.’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu44 “ ‘Mwenyezi Mungu alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume, hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.”’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu44 “ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume, hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.” ’ Tazama sura |