Mathayo 22:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC37 Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Yesu akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na kwa akili yako yote’. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Yesu akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na kwa akili yako yote’. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Yesu akamjibu, “‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na kwa akili yako yote’. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Isa akamjibu, “ ‘Mpende Mwenyezi Mungu, Mungu wako, kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Isa akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mwenyezi Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote.’ Tazama sura |