Mathayo 22:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Lakini Yesu akaufahamu uovu wao, akasema, Mbona mnanijaribu, enyi wanafiki? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Lakini Yesu alitambua uovu wao, akawaambia, “Enyi wanafiki mbona mnanijaribu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Lakini Yesu alitambua uovu wao, akawaambia, “Enyi wanafiki mbona mnanijaribu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Lakini Yesu alitambua uovu wao, akawaambia, “Enyi wanafiki mbona mnanijaribu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Lakini Isa alifahamu kusudi lao mbaya, akawaambia, “Enyi wanafiki, kwa nini mnajaribu kunitega? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Lakini Isa, akijua makusudi yao mabaya, akawaambia, “Enyi wanafiki, kwa nini mnajaribu kunitega? Tazama sura |