Mathayo 21:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Naye akajibu akasema, Siendi, lakini baadaye akatubu akaenda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Yule kijana akamwambia, ‘Sitaki!’ Lakini baadaye akabadili nia, akaenda kufanya kazi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Yule kijana akamwambia, ‘Sitaki!’ Lakini baadaye akabadili nia, akaenda kufanya kazi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Yule kijana akamwambia, ‘Sitaki!’ Lakini baadaye akabadili nia, akaenda kufanya kazi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 “Yule mwanawe akamjibu ‘Mimi sitaenda.’ Baadaye akabadili mawazo yake akaenda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 “Yule mwanawe akamjibu ‘Mimi sitakwenda.’ Baadaye akabadili mawazo yake akaenda. Tazama sura |