Mathayo 21:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Wanafunzi walipoona, walistaajabu, wakisema, Jinsi gani mtini umenyauka mara? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Wanafunzi walipouona walishangaa wakisema, “Kwa nini mtini huu umenyauka ghafla?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Wanafunzi walipouona walishangaa wakisema, “Kwa nini mtini huu umenyauka ghafla?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Wanafunzi walipouona walishangaa wakisema, “Kwa nini mtini huu umenyauka ghafla?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Wanafunzi wake walipoona jambo hili, wakashangaa, wakamuuliza, “Imekuwaje mtini huu kunyauka ghafula?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Wanafunzi wake walipoona jambo hili, wakashangaa, wakamuuliza, “Imekuwaje mtini huu kunyauka ghafula?” Tazama sura |