Mathayo 2:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Akainuka akamchukua mtoto na mamaye, akaenda katika nchi ya Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Basi, Yosefu aliamka, akamchukua mtoto pamoja na mama yake, akarejea nchini Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Basi, Yosefu aliamka, akamchukua mtoto pamoja na mama yake, akarejea nchini Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Basi, Yosefu aliamka, akamchukua mtoto pamoja na mama yake, akarejea nchini Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Basi Yusufu, akainuka, akamchukua mtoto na mama yake wakaenda hadi nchi ya Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Basi Yusufu, akaondoka akamchukua mtoto na mama yake wakaenda mpaka nchi ya Israeli. Tazama sura |