Mathayo 2:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Nao wakiisha kuonywa na Mungu katika ndoto wasimrudie Herode, wakaenda zao kwao kwa njia nyingine. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Mungu aliwaonya katika ndoto wasimrudie Herode; hivyo wakarudi makwao kwa njia nyingine. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Mungu aliwaonya katika ndoto wasimrudie Herode; hivyo wakarudi makwao kwa njia nyingine. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Mungu aliwaonya katika ndoto wasimrudie Herode; hivyo wakarudi makwao kwa njia nyingine. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kwa kuwa walikuwa wameonywa katika ndoto wasirudi kwa Herode, wakarudi nchi yao kwa njia nyingine. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Nao wakiisha kuonywa katika ndoto wasirudi kwa Herode, wakarudi kwenda katika nchi yao kwa njia nyingine. Tazama sura |