Mathayo 16:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Akajibu, akawaambia, [Jioni ikifika, mnasema, hali ya anga itakuwa mzuri; kwa kuwa mbingu ni nyekundu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Lakini Yesu akawajibu, [“Ikifika jioni nyinyi husema: ‘Hali ya hewa itakuwa nzuri kwa maana anga ni jekundu!’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Lakini Yesu akawajibu, [“Ikifika jioni nyinyi husema: ‘Hali ya hewa itakuwa nzuri kwa maana anga ni jekundu!’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Lakini Yesu akawajibu, “Ikifika jioni nyinyi husema: ‘Hali ya hewa itakuwa nzuri kwa maana anga ni jekundu!’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Isa akawajibu, “Ifikapo jioni, mnasema, ‘Hali ya hewa itakuwa nzuri, kwa kuwa anga ni nyekundu.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Isa akawajibu, “Ifikapo jioni, mnasema, ‘Hali ya hewa itakuwa nzuri, kwa kuwa anga ni nyekundu.’ Tazama sura |