Mathayo 16:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Nami nakuambia: Wewe ni Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala nguvu za kifo hazitaweza kulishinda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Nami nakuambia: Wewe ni Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala nguvu za kifo hazitaweza kulishinda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Nami nakuambia: wewe ni Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala nguvu za kifo hazitaweza kulishinda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitajenga jumuiya ya wafuasi wangu, hata malango ya Kuzimu hayataweza kuwashinda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitajenga jumuiya ya wafuasi wangu, hata malango ya Kuzimu hayataweza kuwashinda. Tazama sura |