Mathayo 15:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC39 Akawaaga makutano, akapanda katika mashua, akaenda pande za Magadani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 Basi, Yesu akawaaga watu, akapanda mashua, akaenda katika eneo la Magadani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Basi, Yesu akawaaga watu, akapanda mashua, akaenda katika eneo la Magadani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Basi, Yesu akawaaga watu, akapanda mashua, akaenda katika eneo la Magadani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 Baada ya kuaga umati wa watu, Isa aliingia katika mashua, akaenda sehemu za Magadani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 Baada ya kuaga ule umati wa watu, Isa aliingia katika mashua, akaenda sehemu za Magadani. Tazama sura |