Mathayo 15:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 Yesu akawaambia, Mnayo mikate mingapi? Wakasema, Saba, na visamaki vichache. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Saba na visamaki vichache.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Saba na visamaki vichache.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Saba na visamaki vichache.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Isa akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Tunayo mikate saba na visamaki vichache.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Isa akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Tunayo mikate saba na visamaki vichache.” Tazama sura |