Mathayo 15:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Yesu akajibu, “Sikutumwa ila kwa watu wa Israeli waliopotea kama kondoo.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Yesu akajibu, “Sikutumwa ila kwa watu wa Israeli waliopotea kama kondoo.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Yesu akajibu, “Sikutumwa ila kwa watu wa Israeli waliopotea kama kondoo.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Isa akajibu, “Nimetumwa tu kwa ajili ya kondoo wa Israeli waliopotea.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Isa akajibu, “Nimetumwa tu kwa ajili ya kondoo wa Israeli waliopotea.” Tazama sura |