Mathayo 14:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Wakamwambia, Hamna kitu hapa ila mikate mitano na samaki wawili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Lakini wao wakamwambia, “Tunayo mikate mitano tu na samaki wawili.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Lakini wao wakamwambia, “Tunayo mikate mitano tu na samaki wawili.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Lakini wao wakamwambia, “Tunayo mikate mitano tu na samaki wawili.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Wakamjibu, “Tuna mikate mitano na samaki wawili tu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Wakamjibu, “Tuna mikate mitano na samaki wawili tu.” Tazama sura |