Mathayo 13:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 nyingine zikaanguka penye udongo mzuri, zikazaa, moja mia, moja sitini, moja thelathini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Nyingine zilianguka penye udongo mzuri, zikaota, zikazaa: Nyingine punje mia, nyingine sitini na nyingine thelathini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Nyingine zilianguka penye udongo mzuri, zikaota, zikazaa: Nyingine punje mia, nyingine sitini na nyingine thelathini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Nyingine zilianguka penye udongo mzuri, zikaota, zikazaa: nyingine punje mia, nyingine sitini na nyingine thelathini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Mbegu nyingine zilianguka kwenye udongo mzuri ambapo zilitoa mazao, nyingine mara mia moja, nyingine mara sitini, na nyingine mara thelathini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Mbegu nyingine zilianguka kwenye udongo mzuri ambapo zilitoa mazao, nyingine mara mia moja, nyingine mara sitini, na nyingine mara thelathini. Tazama sura |