Mathayo 13:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC37 Akajibu, akasema, Azipandaye zile mbegu njema ni Mwana wa Adamu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Yesu akawaambia, “Mpanzi wa zile mbegu nzuri ni Mwana wa Mtu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Yesu akawaambia, “Mpanzi wa zile mbegu nzuri ni Mwana wa Mtu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Yesu akawaambia, “Mpanzi wa zile mbegu nzuri ni Mwana wa Mtu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Akawaambia, “Aliyepanda mbegu nzuri ni Mwana wa Adamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Akawaambia, “Aliyepanda mbegu nzuri ni Mwana wa Adamu. Tazama sura |